| Rais wa VOWET, Maida Waziri akiwasili ukumbini. |
| Wana VOWET wakifurahi kwa kucheza Muziki |
| Mdahalo wa kwanza ukiendelea |
| Wageni waalikwa katika Kongamano la VOWET |
| Mdahalo wa tatu ukiendelea |
| Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Mh Sara Msafiri Ally, akizungumza katika kongamano la VOWET |
| Rais wa VOWET akimkabidhi zawadi ya kitabu, Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni |
| Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, akimkabidhi Cheti mwanachama wa VOWET (Irene) |
No comments:
Post a Comment